Monday, October 26, 2009

Usafiri wa wenyeji... Mto Rufiji (kijiji cha Mloka)

Huu ndio usafiri ambao watu wanaoishi kando kando ya mto Rufiji wanatumia ktk safari zao pembezoni mwa mto huo. Picha juu inaonyesha wanakijiji wa kijiji cha Mloka (pembezoni mwa Selou) wakitoka upande mmoja kwenda upande wenye mashamba yao (ambako hakuna wanyama pori)

Yataka moyo lakini ndio hali halisi


Tulielezwa na guide kuwa boti unayoiona juu ni boti ya serikali ya Kijiji na hutumika sana wakati mto rufiji ukiwa umejaa maji sana au kipindi cha kilimo.

Eneo juu ni moja 'ferry' zilizopo hapo kijijini Mloka. Hapo ndio usafiri wa boat kwenda upande mwingine unapopatikana

Jamaa akipiga kasia solo kuelekea maeneo ya kuwajibika.

1 comment:

  1. big ^ sana,imetulia kazi nzuri sana kaka angalia yangu www.nyangarika.intwayblog.net naomba link hapo kwako na pia naomba nikuweke ktk link kwangu.kazi njema

    ReplyDelete