Thursday, October 22, 2009

Lunch chini ya Mti - Lake Manze

Tofauti kati ya kutembelea National Park na game reserve ni katika mambo unayoruhusiwa kufanya. ukiwa national park, mgeni unaruhusiwa kushuka ktk picnic site tu. ukishuka nje ya maeneo hayo na ukakutwa na magemu ujue umekwenda na maji, utapigwa fine. Ktk game reserve hiyo ni
Hii ilikuwa ni Lunch baada ya game drive. Tulipaki gari na kuanza kupata mko ktk mti huo pembezoni mwa lake Manze.

Picha zote zimepigwa pembezoni mwa lake Manze, ndani ya mbuga ya Selous

No comments:

Post a Comment