Wednesday, October 21, 2009

Camping in Selous - Ndovu Camp

Sehemu nyingi za malazi zilizopo ndani na kando kando ya mbuga ya Selous zinatumia tents. Asikuambie mtu, camping ktk tent ina raha yake, japo inataka moyo. kwani usiku wanyama wakali na wakubwa (tembo) wanalisogelea tent lako na wewe ukiwa ndani. matent uyaonayo hapo chini ni ktk Ndovu CampMakuti yamewekwa mahususi ili kupunguza joto ndani ya hema.

Ndani ni Murua kabisa
Bafu na choo ni ndani kwa ndani kwa haya mahema makubwa

Hema dogo

No comments:

Post a Comment