Tuesday, October 20, 2009

Boat Safaris ktk Mto rufiji

Moja ya mambo unayoweza kufanya uwapo Selous ni kuangalia wanyama wakati wewe mgeni ukiwa ktk boat. hii inakupa nafasi ya kuwasogelea kwa karibu sana wanyama waishio majini na pia kuwaona wanyama wanaokuja kando kando ya mto kunywa maji. sambamba na hayo, unaweza kufanya boat safari nje ya mbuga na kujionea maisha ya wakazi wa vijiji nje ya mbuga na shughuli zaoBoat safari ndani ya mojawapo wa mabwawa ya mto Rufiji ndani ya mbuga ya selous
Ukiwa ktk boat unapata fursa ya kupiga picha wanyama kwa ukaribu zaidi kushinda ukiwa ndani ya gari.

No comments:

Post a Comment