Monday, August 24, 2009

Lugha za porini

Sharubu

Sharubu (Simba)

Mkasi (Mamba)

Wa juu (Chui)

Masikio

-------------------------------------------------------------------
Madereva wanapokuwa porini, hubadilisha majina ya wale wanyama ambao wageni wao wanakuwa na shauku kubwa kuwaona. Hii hudhihirika pale ambapo dereva anakutana na dereva mwenzie na anataka kumuuliza kaona nini alikotoka. hapo usishangae kusikia majina ambayo hayaendani kabisa na matarajio yako.
Tembea inakupa dondoo tu za baadhi ya majina ya wanyama ambayo hutumiwa na madereva pindi wanapokuwa porini

No comments:

Post a Comment