Taswira za Sehemu ndani ya hoteli ya Lushoto Executive Lodge iliyopo Lushoto mkoani Tanga. Ni mahali maridhawa kwa mapumziko. picha hizi zilipigwa mwezi Desemba ambapo team ya Tembea Tanzania ilikuwa huko kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka.
Tembelea tovuti ya Hoteli hii kwa kubofya Hapa
No comments:
Post a Comment