Mgeni anapolala kwenye hoteli iliyopo ndani ya hifadhi huwa na hafasi ya kufanya game drive yake mapema asubuhi kwakuwa tayari yupo ndani ya eneo la hifadhi. Tofauti na aliyelala nje ya hifadhi ni lazima asubiri mpaka geti lifunguliwe. Kuna baadhi ya wanyama (hususan Big Cats) huwa wanapatikana ki urahisi sana mida ya asubuhi. Simba na Chui hujionyesha kirahisi katika maeneo yaliyozoeleka mida ya asubuhi. Ndio kete aliyoicheza mdau Thomas siku hii na kuweza kuwafuma Sharubu hawa na watoto wao kando kando ya barabara ndani ya hifadhi ya Mikumi hivi karibuni
No comments:
Post a Comment