Eneo linalojulikana kama maji ya moto ambalo lipo pembezoni ya ziwa Manyara (linaloonekana kwa mbali). Asikwambie mtu, haya maji ni ya moto kweli kweli.. usiende kichwa kichwa kutest joto lake, unaweza ukaiona safari ya porini chungu.
Mateja wakiwa wanapumzika mida ya mchana baada ya mihangaiko yao
Japo ni kama mweusi lakini wanaitwa Blue Monkey akiwa Manyara NP.
Shukran ya picha kwa mdau Aenea wa Tanzania Giraffe Safaris
No comments:
Post a Comment