Mdau Thomas (kushoto) wa HSK Safaris akiwa sambamba na Mgeni wake baada ya kucheck-inn ktk hotel ya Lobo Wildlife lodge kwenye hifadhi ya taifa ya Serengeti
Eneo ilipo hotel kuna miamba na majabali mengi ambayo huvutia wanyama wenye kumudu maisha kwenye haya mawe. Picha ni Mnyama ambae kwa kiswahili anaitwa Mbuzi Mawe. Ni Mnyama jamii ya swala ambaye hupendelea kuishi maeneo yenye majabali ya namna hii. kwa kidhungu anaitwa Klipspringer.
Shukran kwa Mdau Thomas wa HSK Safaris kwa taswira hizi.
No comments:
Post a Comment