Maeneo ya Lobo; Serengeti National Park asubuhi hii
Ni Picha iliyopigwa asubuhi hii na kutufikia sisi muda mchache uliopita. Kwa mujibu wa mdau Thomas, wa HSK Safaris picha hii ameipiga maeneo ya Lobo eneo ambalo lipo ukanda wa magharabi wa wa Serengeti (Western Corridor).
No comments:
Post a Comment