Saturday, November 5, 2011

Ziwa Mzizimia Moja - Selous Game Reserve

Kwa yule atakayeingia Pori la akiba la Selous kupitia geti la Mtemere, Ziwa la Mzizimia moja ndio linaweza kuwa kituo chake cha kwanza. Ni ziwa ambalo linatengenezwa na kuutegemea mto Rufiji. Lipo kama kilometa 6 hivi tokea getini.
Ziwa hili linakuwa na mandhari murua. Viboko na mamba wa kimo cha kati huwa wanakuwepo japo upatikanaji wao hutegemea na hali ya kina cha maji


Viboko walikuwa kwa makundi kadhaa na walikuwa upande wa pili wa ziwa - mbali na tulipoegesha gari.



No comments:

Post a Comment