
Wenyeji wa TembeaTz mtakuwa mnakumbuka mtundiko ambao ulikuwa unaomba msaada kwenu kutambua eneo ambapo picha ya juu ilipigwa. Ni mdau mmoja tu ndio alijibu na hata yeye jibu lake lilikuwa ni kama amenyoosha mikono na kukiri hadharani kushindwa. Jibu ni kwamba, picha hiyo ilipigwa Ras Kutani hotel iliyopo eneo lijulikanalo kama gomvu huko kigamboni, kilometa 32 toka Ferry.
Naomba picha zaidi za hii hotel, nimekuwa nikiisikia kwa muda mrefu.
ReplyDeletetembea imenisogeza karibu nayo