Thursday, October 14, 2010

Uso kwa uso.....

Upo safarini, umeomba kwenda kuchimba dawa na ukapiga hatua chache mbali na gari na kuelekea faragha. Ghafla unakutana ana kwa ana na sharubu kama anavyoonekana ktk taswira ya juu. Utafanya nini?...

4 comments:

  1. Nitatulia tuli kama aliyeganda japo hakuna barafu kisha kimoyo moyo nitasema sala zote nilizowahi kuzikariri! Kisha nitasubiri huruma ya thimba na uokozi wa malaika wanaohusika na kuniokoa! Basi!

    ReplyDelete
  2. Mimi, nitamtumbulia macho kama anavyoniangalia huku narudi kinyume-nyume mpaka nilifikie gari. Unajua simba wakati mwingine huwa anaogopaga ukimwangalia, anajiuliza, huyu anajiamini vipi. Ukimwangalia anaweza kugeuka na kuendelea na hamsini zake (kama ameshiba lakini)

    ReplyDelete
  3. Nitampiga picha nitaendelea na kuchimba dawa then nitarudi garini

    ReplyDelete