
Familia hii ikipata maelezo toka kwa Mkurugenzi wa
Pongo Safaris (mwanzo kushoto)walipotembelea banda la kampuni ya pongo safaris huko Abu Dhabi.

Mtotoaliyeambatana na familia yake akishangaa na kuifurahia ngozi ya pundamilia ktk maonyesho ya Uwindaji na michezo ya farasi huko Abu Dhabi hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment