Monday, August 2, 2010

Masikio wa Tarangire

Hawa masikio tulikutana nao eneo ambalo si mbali sana na geti la kuingilia ktk hifadhi ya Taifa ya Tarangire. Wawili kati yao walikuwa wamelala ardhini kama inavyoonekana ktk taswira ya juu.

Huyu alikuwa pembeni kidogo na wenzie akiendelea na inshu nyingine.

Tembo mmoja aliamka na kusimama huku mwingine akiendelea kula siesta yake. ilikuwa ni mida ya mchana
Picha zote toka ktk maktaba TembeaTz zilizopigwa ktk ziara ya hifadhi ya taifa ya Tarangire hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment