Sunday, July 18, 2010

Viboko wa mto Seronera

Viboko wakijivinjari ndani ya moja ya mabwawa yao yaliyopo ktk mto Seronera. Bwawa hili lipo ktk eneo la Seronera ktk hifadhi ya taifa ya Serengeti.

Unapofanya hot Air balloon safari mnaweza pita juu ya hili bwawa mkiwa ktk balloon

1 comment:

  1. Inakuwaje ikitokea bahati mbaya mnadondoka na balloon ndani ya bwawa?

    ReplyDelete