Friday, July 16, 2010

Tembo wa Lake Manyara

Hawapandi juu ya miti lakini usishangae kuwakuta wapo juu ya milima. Kuna msemo wa waungwana unasema "...ukimkuta kobe juu ya mti usiulize nani kampandisha, muulize kobe kapanda vipi juu ya mti..."

Tulimkuta tembo huyu ndani ya hifadhi ya taifa ya ziwa Manyara akiwa anaendelea kujitafutia msosi juu ya kilima karibu kabisa na geti la kuingia ktk hifadhi.

No comments:

Post a Comment