Tuesday, July 20, 2010

Sio hasara ukijua na hili pia...

Ukimuona haraka haraka unaweza usitambua vizuri lakini moja ya vitu vinavyoweza kukusaidia kumtofautisha ngiri dume ktk kundi ni uwepo wa nundu 6 ktk sehemu ya kichwani. Kila upande wa kichwa unazo nundu tatu na kufanya jumla kuwa sita. Mara nyingi huwa hatuzioni hizi nundnu na kuziona zaidi zile pembe zake zinazotokeza nje ya mdomo wake kama sigara. Hii ilikuwa ni Ngorongoro crater.[Picha, Tom - Kimasafaris]

No comments:

Post a Comment