Sunday, July 18, 2010

Sehemu ya kulala unayoipendelea

Utaratibu wa kupata maoni yako mdau unaendelea, sasa hivi tukijaribu kudodosa toka kwako suala la wapi ungependa kulala pindi uitembeleapo hifadhi uipendayo. Swala la malazi ktk hifadhi lina marefu na mapana yake lakini kwa kuanzia tunaanza kwa kuangalia eneo ambapo malazi yanakuwepo. hapa tunaangalia kipengele cha hotel/lodge kuwa ndani au nje ya eneo la hifadhi.

Kwa sasa tunaomba kujua maoni yako na baada ya mchakato huu tutakumwagia dondoo muhimu ili kukielewa zaidi kipengele hiki. shiriki ktk mchakato huu kwa kutoa maoni yako ktk kura ya maoni iliyopo upande wa kulia wa blog ya TembeaTz.

Karibuni sana

1 comment: