Tuesday, July 6, 2010

Kalenda ya maonesho ya sekta ya utalii...

Ni Kalenda ya maonesho yanayohusu sekta ya utalii yanayofanyika ndani na nje ya nchi yetu. Baadhi ni maonyesho mahsusi kwa ajili ya utalii na mengine ni maonyesho mchanganyiko ambamo sekta ya utalii inapewa nafasi pia. bofya hapa kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment