Wednesday, June 30, 2010

Warbus

Magari yanayotumika kubebea wageni ambayo yamefanyiwa modification ili yabebe abiria 7 au 8 hujulikana kama warbus na wadau walio ktk sekta. mengi huwa na Land cruiser au Land rovers ambazo hufanyiwa marekebisho na kuzipa uwezo wa kubeba abiria 7-8 huku abiria hao wakikaa kwa raha na starehe kwa kipindi chote cha safari. kwa hapa nchini miji ya Moshi na Arusha ndio kuna garage kadhaa zenye ujuzi na uzoefu wa kufanya marekebisho haya. picha juu ni gari ay Kudu safaris ambayo ilikuwa inakamilisha taratibu za kuingia ndani ya hifadhi ya taifa ya Tarangire

No comments:

Post a Comment