Monday, June 7, 2010

Lesser Flamingo.... Arusha NP

Hapa Tanzania kuna aina mbili kuu za ndege jamii ya Flamingo, Greater na Lesser Flamingo. Unaowaona ktk picha ya juu ni Lesser flamingo ambao walikuwa ktk ziwa la Momella Kubwa ndani ya hifadhi ya Arusha.

Tofauti yao kubwa ni rangi. Lesser flamingo wanakuwa na rangi ya pink kama unavyowaona ktk picha juu. Greater flamingo wao ni weupe.

1 comment:

  1. Ndugu hapo ktk picha mi nimeshindwa kabisa kumuona wa juu alipo juu ya mtii naomba masaada kutonywa alipojificha.

    ReplyDelete