Sunday, May 9, 2010

Rangi ya Pundamilia


Mdau,
kwa kuangalia kwa makini picha hizo mbili hapo juu unaweza kusema nini kuhusu rangi pundamilia? ana rangi nyeupa na mistari/mabaka meusi au ana rangi nyeusi na mistari/mabaka meupe? Picha zote ni Ngorongoro crater.

2 comments:

  1. pundamilia ni mweupe ila ana mistari myeusi

    ReplyDelete
  2. ANA RANGI NYEUPE NA MISTARI MYEUSI, REJEA SEHEMU YAKE YA NYUMBA UTAONA BAADHI YA MISTARI MYEUSI INAPOANZIA.

    MWENYEJI.

    ReplyDelete