Huu ni mti wa mkuyu unaopatikana ndani ya hifadhi ya taifa ya Arusha. Ni mtu ambao una tundu kwa chini (sio yote, ni huu tu ndio uko hivyo) ambalo gari zinazotumika porini zinaweza kupita. Mkuyu (fig tree) ni mti ambao huanza maisha yake juu ya mti mwingine (host tree). Baada ya muda mkuyu hushamiri na kuumaliza kabisa ule mti ambao ndio chimbuko lake. Ahsante ya picha toka kwa mdau JSK.
No comments:
Post a Comment