Sunday, April 18, 2010

Mandhari maridhawa......

Muonekano wa Ngorongoro crater tokea kwenye moja ya hoteli zilizopo pembezoni mwa crater hii ya ajabu. Ziwa unaloliona ni ziwa Magadi. Maji yake ni Alkaline kama yalivyo maziwa mengine yanayopatikana ktk ukanda wa kaskazini. [Picha TTB]

No comments:

Post a Comment