Monday, March 1, 2010

Taswira toka Selous Game reserve

Water buck. huyu ni dume

Masalia ya Kiboko.

Ile combination ya warefu na wafupi ipo pia selous, jamaa wafupi wanakuwa wanapewa status na warefu kama mambo shwari au la! dalili ya kutoweka amani ikionekana kila mmoja anatimkia kwake.

Haijalishi ni dume au jike, Simba porini hubaki kuitwa sharubu. Wadau walimfuma huyu akipumzika jua la mchana chini ya mti.

Akihangaika kutoa kupe sehemu karibu na machoni.

Sijui ni utamu, raha au maumivu lakini hii yote ni katika hali ya kujiweka soap soap. Shukran kwa wadau walioturushia baadhi ya taswira za safari yao ya huko Selous

1 comment:

  1. SIMPENDI HUYU MDUDU, NAJARIBU KUIMAJINI NIKIWA KWENYE PUTO ALAFU NIKAMDONDOKEA

    ReplyDelete