Mambo mazuri kama yanavyooneka ktk taswira hizo ndio yanayopelekea wale wanaotoka sehemu kama hizo kulikimbia jiji pindi wanapopata nafasi ili kupata utulivu wa akili na mwili. Ukipata wasaha wa kupumzisha akili ktk mazingira kama haya, ni dhahiri kabisa utarudi kazi au ktk shughuli zako ukiwa ni mtu tofauti. taswira hizi zimedondoshwa na mdau Tom wa Kima safaris alipotinga Mbaga, Same aka upareni kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka.
mzee tupo location, wapi hapa?
ReplyDelete