Monday, February 22, 2010

Frederick Courteney Selous

Frederick Courtney Selous alikuwa ni explorer wa kiingereza na pia muwindaji hodari aliyeishi ktk mapori kadhaa ya afrika ktk sehemu zilizopata kutawaliwa na waingereza. aliuwawa na jeshi la wajerumani ktk eneo lilipo ndani ya inayoitwa kwa sasa Selous game reserve. Pori hili la akiba lilipewa jina la Selous kwa heshima yake. Picha juu ni kaburi lake ambalo limo ndani ya Selous game reserve ktk eneo linalojulikana kama beho beho. bofya hapa kupata dondoo zaidi za huyu jamaa

1 comment:

  1. Huwezi kuamini sikuwa najua historia ya Selous na sikuwahi kujiuliza hivi hilo neno lilitokana na nini!

    ReplyDelete