Thursday, January 7, 2010

Kwa taarifa yako....... Kaole, Bagamoyo

Moja ya sababu iliyopelekea Waarabu (wa Enzi hizo) kuhamisha makazi yao huko bagamoyo kutoka Kaole (yalipo magofu) kwenda ilipo bagamoyo ya sasa ni kushamiri kwa miti ya Mikoko ktk pwani ya Kaole. Uotaji wa mikoko ktk pwani ya Kaole ulikuwa ni kikwazo kikubwa kwani mikoko hiyo iliziba kabisa pwani na kufanya Ngalawa na majahazi kushindwa kutia nanga karibu na pwani ya Kaole. Kwa kipindi hicho, majahazi ndio ilikuwa njia chombo kikuu kwa safari ndefu za kibiashara nje ya East afrika.
picha juu ni sehemu tu ya mikoko iliyojaa ktk pwani ya Kaole.

No comments:

Post a Comment