Tuesday, December 29, 2009

Phonetic codes - Si hasara ukizifahamu....

Imezoeleka kama lugha inayotumika kwa mawasiliano ktk vyombo vya usafiri wa anga na majini. lakini pia ni mfumo ambao unaweza kuutumia hata wewe (usiye rubani au Baharia) pale unapohitaji kuelezea vyema neno au jina kwa mtu mwingine kwa njia ya simu ya kawaida au ya upepo - radio call.
  • A - Alpha
  • B - Bravo
  • C - Charlie
  • D - Delta
  • E - Echo
  • F - Foxtrot
  • G - Golf
  • H - Hotel
  • I - India
  • J - Juliet
  • K - Kilo
  • L - Lima
  • M - Mike
  • N - November
  • O - Oscar
  • P - Papa
  • Q - Quebec
  • R - Romeo
  • S - Sierra
  • T - Tango
  • U - Uniform
  • V - Victor
  • W - Whiskey
  • X - X-ray
  • Y - Yankee
  • Z - Zulu
kwa mfano;
Tanzania hutamkwa -
Tango-Alpha-November-Zulu-Alpha-November-India-Alpha

Kilimanjaro itakuwa
Kilo-India-Lima-India-Mike-Alpha-November-Juliet-Alpha-Romeo-Oscar

Jaribu kulitamka jina lako kwa kutumia hizi phonetic codes ili kujipama uelewa wako.

1 comment:

  1. Hizo zimetulia, nilikuwa nasikia Bravo, Alfa, Charlie, Tango lakini sikuelewa kama kuna kodi za herufi zote. Lakini umesahau kuandika code ya Z.

    Kilo Alpha India

    ReplyDelete