Friday, November 20, 2009

Birds Fascinate me!

Jina lake limenitoka, Selous

Secretary bird, Serengeti

Eagle, Serengeti


Jina lake limenitoka pia, Serena - Serengeti

Jina limenitoka, selous

Flamingo, dsm zoo



Picha za wanyama au ndege wa porini mara nyingi huwa hazihitaji maelezo; huwa zinajieleza zenyewe; labda kama kunakuwa na tukio muhimu. Unapokuwa porini, nyakati nyingine unaweza kuona kitu fulani ni cha kawaida ukakiacha. baada ya kurudi camp unagundua kuwa ume-miss kugandisha kitu kizuri. wakati mwingine unapiga picha huku ukisema "hii picha sio kali..." lakini ukija kui-export ktk laptop na kuiangalia baadae, inakuwa inaleta hisia tofauti sana.

kifupi, naamini hata kama kunguru wangekuwepo porini, picha ya kunguru wa porini ingekuwa na mvuto wa kipekee tofauti na ya kunguru aliye mjini.

Picha juu ni picha za ndege mbalimbali ambazo niliwahi kuzigandisha ktk mizunguko yangu porini. zina ujumbe na hisia nzito. Wengine majina yao magumu na kwa sasa yamenitoka

for bird watchers, dedication kwenu........
KK

1 comment:

  1. Hongera mdau,nimependa picha za ndege, mdau jitahidi tuwajue majina,na kama unafahamu kahistoria kao kidogo, congrats!

    ReplyDelete