Monday, June 15, 2015

Windo la leo mitaa ya Lake Manze, Selous GR

Mdau Thomas wa Kima Adventures katurushia picha hizi za tukio la leo hii maeneo karibu na Lake Manze ndani ya pori la akiba la Selous.

No comments:

Post a Comment