Tuesday, August 5, 2014

Ngorongoro ni zaidi ya Crater

Ukiachia crater iliyozoeleka na wengi, Eneo la uhifadhi la Ngorongoro linasimamia eneo kubwa na zaidi ya crater. Ki ukweli ndani ya eneo hili kuna crater nyingine ambayo hujulikana kama Empakaai ambayo nayo ina wanyawa kadhaa wa porini na ndege aina ya Flamingo wa kutosha. Kingine kilichopo ndani ya eneo la Ngorongoro ni Mlima Ol donyo Lengai. Picha hizi zimepigwa nje ya crater lakini bado ndani ya eneo la uhifadhi la Ngorongoro. Wanyama wa porini wapo wa kutosha.


3 comments:

 1. Unajitahidi katika kuionyesha Tanzania, safee

  ReplyDelete
 2. Asante sana KK.

  Namis sana pori.
  Ngorongoro ni sehemu pekee sana duniani ambapo watu na wanyama wa kufugwa na wa porini hukutana.

  ReplyDelete
 3. Very True @Mike,
  Wengi hudhani Ngorongoro ni ile Crater peke yake. Kuna mengi zaidi ya ile Crater na lile eneo lote lina mengi zaidi ikiwemo Oldupai Gorge

  ReplyDelete