Wednesday, August 6, 2014

hawana uwezo wa kuzuia haja ndogo...

Nungungun hana uwezo wa kuweza kuzuia mkojo, unapokuwepo unatoka bila hata ya nungunungu mwenyewe kujielewa. majimaji unayoyaona kwenye sakafu ya banda lao ni haja ndogo ya kwao. Hapa ni Dar Es Salaam Zoo - Kibada

No comments:

Post a Comment