Monday, March 17, 2014

Mullers Mountain Lodge - Lushoto

Muller Mountain Lodge - Lushoto, Tanzania
 Kama unatafuta mahali pa kwenda kupumzika for a long weekend basi unaweza kuiweka Mullers Mountain Lodge kwenye search list yako. Ni Hotel iliyotulia kwenye vilima vya Usambara, wilayani Lushoto. Mandhari mwanana yenye utulivu wa kukusahaulisha purukushani za maisha ya kila siku. Iwe kwa peke yako, Familia moja au hata makundi ya Familia hii hoteli inafaa.
Muller Mountain Lodge - Lushoto, Tanzania
One of the combo cabins perfect for families and/or groups. 
2 rooms (self contained) and a sitting room with a fire place.

Muller Mountain Lodge - Lushoto, Tanzania

Muller Mountain Lodge - Lushoto, Tanzania

Muller Mountain Lodge - Lushoto, Tanzania

Muller Mountain Lodge - Lushoto, Tanzania

Muller Mountain Lodge - Lushoto, Tanzania

Muller Mountain Lodge - Lushoto, Tanzania

Muller Mountain Lodge - Lushoto, Tanzania
Photos from TembeaTz archieve

No comments:

Post a Comment