Monday, March 10, 2014

FLASHBACK - Air Tanzania ya miaka ya 80.

Fokker F27 iliyokuwa ikimilikwa na ATC miaka ya 80 mpaka mwanzoni mwa miaka ya 90 ikionekana kwenye uwanja wa Moi mjini Mombasa mwaka 1986. Kwa wale wenye kumbukumbu watazikumbuka vyema rangi za ndege zetu za miaka ile sambamba na yule Twiga wetu mkiani. Zilikuwa na mvuto wake wa kipekee. Sasa hivi Shirika hili lipo kwenye jitihada ya kurudisha heshima yake kipindi kile, kipindi ambacho ATC ilikuwa inaenda Muscat na nchi nyingine kadhaa.
Chanzo cha Picha - Ukurasa wenye taarifa za Air Tanzania - Wikipedia

1 comment: