Saturday, January 25, 2014

White Colobus Monkey (mbega Weupe) wa Mlima Kilimanjaro

Mount Kilimanjaro, Mandara hut, Whte Colobus Monkey
 Tulikutana na kundi kubwa la Mbega weupe karibu na Kituo cha Mandara wakati tukishuka Mlima Kilimanjaro kwa njia ya Marangu mwaka jana (2013). Lilikuwa ni kundi la mbega wapatao 15 hivi lakini wengi walikuwa wamejificha kwenye miti ya msitu unaozunguka kituo cha Mandara. Huyu mmoja ndio alikuwa amekaa eneo la wazi ambapo niliweza kunasa taswira zake. Walitupa burudani nzuri ya kelele na manjonjo yao kwenye miti.Mount Kilimanjaro, Mandara hut, Whte Colobus Monkey

Mount Kilimanjaro, Mandara hut, Whte Colobus Monkey

Mount Kilimanjaro, Mandara hut, Whte Colobus Monkey

Mount Kilimanjaro, Mandara hut, Whte Colobus Monkey

Mount Kilimanjaro, Mandara hut, Whte Colobus Monkey

Mount Kilimanjaro, Mandara hut, Whte Colobus Monkey

Mount Kilimanjaro, Mandara hut, Whte Colobus Monkey

No comments:

Post a Comment