Saturday, January 25, 2014

Ijue Serengeti Lion Project


Ni Moja ya miradi ya utafiti wa muda mrefu barani Afrika ambayo inawafuatilia Simba kila kukicha kwenye hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Ilianza tokea mwaka 1946. Taarifa zinazopatika ktk utafiti huu zimekuwa zikitumika kuboresha uelewa na maarifa juu ya maisha ya mnyama Simba. 
Bofya hapa kwa kufahamu zaidi

No comments:

Post a Comment