Wednesday, November 6, 2013

Unayaona mawingu kwa chini ukiwa umesimama kwa miguu yako mwenyewe

Kibo Hut, Mount Kilimanjaroa
Picha imepigwa Kwenye kituo cha Kibo. Kwa mbali ni kilele cha Mawenzi na pembezoni utaona mawingu ambayo ukiwa hapa yanaoneakana yakiwa chini. View kama hizi tumezoea kuziona tukiwa kwenye ndege angani lakini unapopanda Mlima Kilimanjaro, unapata fursa ya kupata view hii huku ukiwa umesimama kwa miguu yako mwenyewe.

No comments:

Post a Comment