Tuesday, October 8, 2013

Picha za leo leo (8 October 2013) kutoka Ngorongoro crater

Ngorongoro Crater - Tanzania
Ni Picha zilizopigwa leo na Mdau Assery Nko aliyeoko pande za Ngorongoro kikazi.Ngorongoro Crater - Tanzania

Ngorongoro Crater - Tanzania

Ngorongoro Crater - Tanzania

Ngorongoro Crater - Tanzania
Masikio huyu (Masikio ni jina la porini la Tembo) alitaka kuwaletea zengwe kidogo lakini alipoa badae.

Ngorongoro Crater - Tanzania
Uwepo wa watoto kama ambavyo wanavyoonekana kwa mbali ndio chanzo cha masikio huyu kutaka kuleta zengwe

Ngorongoro Crater - Tanzania
Mdau Assery akiwa kwenye mapumziko ya Lunch leo mchana ndani ay Ngorongoro crater ambako yupo huko kikazi na wageni wake. Shukran sana Mdau kwa kushare nasi picha za Ngorongor.

No comments:

Post a Comment