Saturday, August 3, 2013

Horombo HutNi Video iliyopigwa jioni katika kituo cha Horombo. Shughuli na hekaheka zinazoendelea hapo ni za wasafiri waliotoka Kituo cha Kibo na kuja kulala hapo, wengi wao wakiwa ni wale wanaotumia njia ya Rongai. Hao hulala kwenye mahema ambayo wagumu wao ndio walikuwa wakiyaanda

1 comment: