Wednesday, August 21, 2013

Dondoo muhimu za Hifadhi zetu na Chimbuko lake

Ni bango ambalo lilikuwepo kwenye banda la TANAPA ktk uwanja wa maonesho ya wakulima ya nane-nane Morogoro. Kauli iliyonukuliwa ni Kauli ya Mwalimu Nyerere aliyoitoa mwaka 1961 mjini Arusha ambayo imekuja kujulikana kama Arusha Manifesto.. Bofya hapa kujua zaidi

Hifadhi za Taifa letu Tanzania ambazo zinasimamiwa na TANAPA


No comments:

Post a Comment