Monday, June 3, 2013

Photographs from Karibu Fair 2013 - Arusha

Karibu Fair 2013 Arusha

Karibu Fair 2013 Arusha

Karibu Fair 2013 Arusha
The VIP lounge by Palace Hotel Arusha

Karibu Fair 2013 Arusha

Karibu Fair 2013 Arusha
Kijiwe cha Mdau Sam Diah, Tanzania Travel Company. 

Karibu Fair 2013 Arusha
Shughuli za Utalii zinahitaji huduma thabiti za kibenki ili ziweze kwenda haraka na kwa ufanisi wa kimataifa. CRDB bank walikuwepo wakiwakilisha benki nyingine.

Karibu Fair 2013 Arusha

Karibu Fair 2013 Arusha
Tembo wa chuma akiwa kwenye maonesho haya

Karibu Fair 2013 Arusha

Karibu Fair 2013 Arusha

Karibu Fair 2013 Arusha

Karibu Fair 2013 Arusha
Uwanja mdogo wa ndege wa Arusha upo mita kadhaa kutokea uwanja wa Magereza yalipokuwa yakifanyikia maonesho haya. Ndege juu ikielekea kutua ktk uwanja wa Arusha (Almaarufu kama Kisongo)

Karibu Fair 2013 Arusha

Karibu Fair 2013 Arusha
Mkataa kwao mtumwa; Ngoma za Asili zilikuwepo pia

Msema chochote akiwa kwenye dawati lake la kuwajibika

Karibu Fair 2013 Arusha
Sehemu ya maakuli na mapumziko ndani ya viwanja vya maonesho

Shukran ya picha kwa Mdau Sam Diah wa Tanzania Travel Company

No comments:

Post a Comment