Wednesday, June 5, 2013

Mandhari ya Horombo, Kibo na Mawenzi vikionekana kwa chati

 Kitu cheupe kinachoonekana kushoto ni Kilele cha Kibo wakati Mwamba unaonekana kati-kulia ni sehemu ya kilele cha Mawenzi. Mabanda yanayoonekana hapo ni mabanda ya wageni na wagumu wao kwenye kituo cha Horombo, kwenye njia ya Marangu

Mawenzi peke yake

Kibo kwa mbali1 comment: