Friday, May 31, 2013

Karibu Fair 2013 inaanza rasmi leo (31st May 2013), Huko Arusha

File photo - Karibu Fair 2012
Ni Maonyesha ya kila mwaka ya sekta yaUtalii yaliyopata kujijengea heshima kubwa kwenye ukanda huu yanaanza rasmi hii leo (31st May 2013) huko Arusha. Yataendelea mpaka tarehe 2 June 2013. Maonyesho haya huweka pamoja wadau mbalimbali wa sekta ya Utalii toka pande zote za nchi yetu, nchi jirani na mawakala wa utalii toka pande zote za dunia ili kuona nani anafanya nini. Maonyesho haya hufanyika kwenye viwanja vya Magereza, Nje kidogo ya jiji la Arusha karibu kabisa na uwanja mdogo wa ndege wa Arusha. Picha juu ni munoekano wa uwanja wa maoneshoya mwaka jana (2012).

No comments:

Post a Comment