Monday, April 29, 2013

Wapanda miti wa Manyara

Simba wa Hifadhi ya Taifa ya Manyara wanafahamika kwa uwezo wao wa kupanda miti. Manyara ni hifadhi ambayo sehemu kubwa ya eneo lake ni msitu wa miti mirefu. Mazingira na kutokana na historia ya hifadhi hii kuandamwa na mbung'o Simba wa Manyara walibaini namna ya kupambana na mbung'o hao kwa kukaa juu ya miti iliyopo kwenye hifadhi. Picha toka kwa mdau Bonny wa Arusha

No comments:

Post a Comment