Tuesday, April 30, 2013

Wababe wa Tarangire

Tarangire National park
Hifadhi ya Taifa ya Tarangire ni hifadhi ambayo ina idadi kubwa ya Tembo na tena Tembo wenye maumbo makubwa. Kama mgeni hamu yake ni kuona Tembo, basi Tarangire atamaliza hamu yake mpaka kusaza. Mdau Thomas alikutana na Tembo huyu aliyekuwa kwenye kundi la wengine eneo la Silale plain ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire

No comments:

Post a Comment