Monday, April 8, 2013

Upepo mkali sambamba na mawingu.. Kilimanjaro Ascent


Hii Video imetoka kwa Mdau frank tuliyeambatana kwenye Safari ya kuupanda Mlima Kilimanjaro. Hii video aliichukua tukiwa njiani kutoka Mandara kwenda Horombo. ghafla lilikuja wingu na upepo mkali na mwishowe ikaja mvua iliyotulazimisha tuvae makoti ta mvua ambayo tulikuwa tumeyabeba kwenye mabegi ya mgongoni. Mizigo mingine ilikuwa imetangulia na 'wagumu'

No comments:

Post a Comment