Monday, February 11, 2013

Shughuli ya kuwatangaza washindi wa Seven Natural wonders mjini Arusha.

Seven Natural wonders winner Declaration in Arusha
Shughuli ya kuwatangaza washindi wa ule mchakato wa Maajabu saba ya Dunia imeanza kutimua Vumbi huko mjini Arusha sasa hivi kama ambavyo picha hii inavyoonyesha. Shughuli hii inafanyikia ktk hotel ya Mount Meru Mjini Arusha. Mdau Sam Diah wa Tanzania Travel Company yupo kwenye hafla hii na ataturushia taarifa zaidi baadae.

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Pinda ndiye mgeni rasmi

No comments:

Post a Comment