Tuesday, February 12, 2013

Ni msimu wa Nyumbu kuzaliana; Ngorongoro Crater

Mdau Aenea wa Tanzania Giraffe Safaris alimkuta Nyumbu huyu jike akiwa anatafuta sehemu salama ili aweze kujifungua. Sasa hivi ni msimu wa Nyumbu kuzaliana ambapo wale waliobakia Serengeti Huzaliana eneo la Ndutu na wengine huja mpaka Ngorongoro crater na kuzalia huku pia. Picha hii imepigwa jana huko Ngorongoro crater. Shukran kwa Mdau Aenea kwa taswira hii.

No comments:

Post a Comment